Kiroba cha Mahidi kikiwa kimeanguka Barabarani kutoka kwenye Basi lililopaki pembeni  huku kondakta wa basi hilo akijaribu kusimamisha magari mengine ili waweze kuokota mahindi hayo,hii ni kutokana na kupakia mizigo bila kuifunga katika keria ya gari hilo.tukija upande wa usalama barabarani hii ni hatari sana kwani kama kunakuwa kuna gari nyingine inakuja kwa nyuma na kiroba hiki kikadondokea kwenye kioo cha mbele basi kunaweza kusababishwa kwa ajali ambayo inakuwa imesababishwa na uzembe wa mtu mmoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...