Muanzilishi,Mwenyekiti wa Kilimanjaroclub akiwa na familia yake(picha ya chini) katika Ubalozi wa Tanzania mjini Stockholm nchini Sweden kusaini kitabu cha maombolezi kufuatia msiba mkubwa uliolikumba Taifa la Tanzania,baada ya kudama kwa meli ya Mv. Spice Islander katika mkondo wa Nungwi huko Zanzibar.
Home
Unlabelled
Mwenyekiti wa Kilimanjaroclub na familia yake wasaini kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv spice islander
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...