Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa
Msafara wa Mkapa ukisaili mjini Igunga
Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni martibu wa kampeni jimbo hilo.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Mzee Benjamin William Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Watu wakisubiri msafara wa Mkapa eneo la kijiji cha Makomero nje ya mji wa Igunga
Mgombea ubunge jimbo la Igunga Dk. Dalally Peter Kafumu akimsalimia mmoja wa wananchi wa kijiji cha Makomero waliokuwa wakisubiri msafara wa Mkapa.









hao sisiem hao wao kupanda kwenye malori ya wazi hivyo na hatarishi wanaona sawa kabisa enh?
ReplyDeleteWangekuwa wenzao hapo ungesikia ohh ni marufuku kutumia malori kusafirishia mashabiki kwenye kampeni.
Sasa wao kwani hizi sheria za nchi na za usalama barabarani wao kwao HAZIAPLAI jamani?
kama hii ni blog ya jamii, tunaomba usiwe bias tupe mkutano wa Chadema pia
ReplyDeleteHivi kumbe bado kuna watu wanaishabikia ccm kiivo? mimi ckujua. Usibane ujumbe wangu michuzi.
ReplyDeleteDr Peter Kafumu, sisi wanaIgunga tutakupa wewe na CCM ushindi mkubwa sana katika uchaguzi ujao. Hao wapinzani waliokuja "kupiga kambi" Igunga wataliwa pesa zao. Chagua Dr Kafumu, Chagua CCM. CCM juu juu juu zaidi. Igungakwetu1.
ReplyDeleteTANZANIAAAAAAAAA.....Kuna mambo ya ajabu ajabu sana!!!
ReplyDeletewera wera mtajiju
ReplyDeleteBig Ben... si mchezo!
ReplyDeleteAnony unayemlaumu Michuzi kuhusu kutoweka kampeni za cHadema umekosea. Bofya habari zilizopita utapata picha za chadema igunga. Hata hivyo kwa Igunga wapinzni wanajisumbua tu. Ni walewale CCM watakaoshinda tena kwa kura halali toka kwa wananchi.
ReplyDeletehawa watu wanafanya kazi saa ngapi?
ReplyDelete