Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa
 Msafara wa Mkapa ukisaili mjini Igunga
 Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu  katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni martibu wa kampeni jimbo hilo.
 
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Mzee Benjamin William Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
 Watu wakisubiri msafara wa Mkapa eneo la kijiji cha Makomero  nje ya mji wa Igunga
Mgombea ubunge jimbo la Igunga Dk. Dalally Peter Kafumu akimsalimia mmoja wa wananchi wa kijiji cha Makomero waliokuwa wakisubiri msafara wa Mkapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hao sisiem hao wao kupanda kwenye malori ya wazi hivyo na hatarishi wanaona sawa kabisa enh?

    Wangekuwa wenzao hapo ungesikia ohh ni marufuku kutumia malori kusafirishia mashabiki kwenye kampeni.

    Sasa wao kwani hizi sheria za nchi na za usalama barabarani wao kwao HAZIAPLAI jamani?

    ReplyDelete
  2. kama hii ni blog ya jamii, tunaomba usiwe bias tupe mkutano wa Chadema pia

    ReplyDelete
  3. Hivi kumbe bado kuna watu wanaishabikia ccm kiivo? mimi ckujua. Usibane ujumbe wangu michuzi.

    ReplyDelete
  4. Dr Peter Kafumu, sisi wanaIgunga tutakupa wewe na CCM ushindi mkubwa sana katika uchaguzi ujao. Hao wapinzani waliokuja "kupiga kambi" Igunga wataliwa pesa zao. Chagua Dr Kafumu, Chagua CCM. CCM juu juu juu zaidi. Igungakwetu1.

    ReplyDelete
  5. TANZANIAAAAAAAAA.....Kuna mambo ya ajabu ajabu sana!!!

    ReplyDelete
  6. wera wera mtajiju

    ReplyDelete
  7. Big Ben... si mchezo!

    ReplyDelete
  8. Anony unayemlaumu Michuzi kuhusu kutoweka kampeni za cHadema umekosea. Bofya habari zilizopita utapata picha za chadema igunga. Hata hivyo kwa Igunga wapinzni wanajisumbua tu. Ni walewale CCM watakaoshinda tena kwa kura halali toka kwa wananchi.

    ReplyDelete
  9. hawa watu wanafanya kazi saa ngapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...