Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzni mdogo jimbo la Igunga.
 Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu  katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni martibu wa kampeni jimbo hilo.
 Mgombea ubunge jimbo la Igunga Dk. Dalally Peter Kafumu akimsalimia mmoja wa wananchi wa kijiji cha Makomero waliokuwa wakisubiri msafara wa Mkapa.
 Msafara wa Mkapa ukisaili mjini Igunga.
Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa.
Watu wakisubiri msafara wa Mkapa eneo la kijiji cha Makomero  nje ya mji wa Igunga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. We are hardly seeing the supporter, but surprisingly CMM will come out a winner!! What a waste of time

    ReplyDelete
  2. Misupu kumbe wewe ni CCM? Picha hizi unazitoa mara mbilimbili!!!?? Acha unazi mbona za chadema hukuzitoa??

    ReplyDelete
  3. mbona comment yangu hujaweka, inakatisha tamaa

    ReplyDelete
  4. Hivi kuna ubaya gani kukumbushiana taratibu za usalama barabarani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...