Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzni mdogo jimbo la Igunga.
Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni martibu wa kampeni jimbo hilo.
Mgombea ubunge jimbo la Igunga Dk. Dalally Peter Kafumu akimsalimia mmoja wa wananchi wa kijiji cha Makomero waliokuwa wakisubiri msafara wa Mkapa.
Msafara wa Mkapa ukisaili mjini Igunga.
Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa.
Watu wakisubiri msafara wa Mkapa eneo la kijiji cha Makomero nje ya mji wa Igunga.





We are hardly seeing the supporter, but surprisingly CMM will come out a winner!! What a waste of time
ReplyDeleteMisupu kumbe wewe ni CCM? Picha hizi unazitoa mara mbilimbili!!!?? Acha unazi mbona za chadema hukuzitoa??
ReplyDeletembona comment yangu hujaweka, inakatisha tamaa
ReplyDeleteHivi kuna ubaya gani kukumbushiana taratibu za usalama barabarani?
ReplyDelete