Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mh. Charles Kitwanga akifafanua jambo kuhusu uwajibikaji na utawala bora wakati wa mkutano wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya simu Tanzania (TTCL) uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya TTCL, Enos Bukuku.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mh. Charles Kitwanga (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa bodi ya TTCL, Enos Bukuku (katikati). Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TTCL, Said Amir Said.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga (kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) mara baada ya kumaliza mkutano uliokuwa ukijadili masuala ya uwajibikaji na utawala bora katika kampuni hiyo.Picha na Francis Dande
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...