Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya mawasilianao Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma leo akiongea leo katika jengo la Mawasiliano House barabara ya Sam Nujoma road jijini Dar es salaam katika hafla ya kutoa leseni kwa vituo binafsi vya redio
 Mmiliki wa SPORT Fm 91.2 Abdallah Idrisa Majura akipokea leseni ya umiliki wa kituo hicho kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya mawasilianao Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma leo. Majura ambaye amewahi kufanya kazi Radio Tanzania, ITV/Radio One Stereo na BBC ni mtangazaji na mwandishi wa habari wa kwanza nchini Tanzania kumiliki kituo cha Radio.
Mmiliki wa SPORT Fm 91.2 Abdallah Idrisa Majura akiangalia leseni ya umiliki wa kituo chake alichopokea toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya mawasilianao Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Congratulations, I really enjoyed this article. That is nice when you find something that is not only informative but entertaining. Awesome!

    ReplyDelete
  2. Abdallah Majura; one of top sport presenters. Kwa kweli ataiburudisha jamii.Najaribu kukumbuka enzi zake wakati anatangaza mpira RTD; enzi zake.Huyu ni legend; kama alivyo Uncle J; Julius Nyaisanga.Well done Mr Majura.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...