Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Bwana Ted Alemayhu,Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa US Doctors for Africa aliyemtembelea Rais Kikwete katika hoteli ya Jumeirah iliyoko jijini New York.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na viongozi wa makampuni ya Sithe Global, iliyowakilishwa na Bwana Bruce Wrobel ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa makampuni hayo na Bwana Garrett Moran wa Blackstone Group  kuhusu uwekezaji katika Tanzania katika nyanja za Nishati na Miundombinu. Mazungumzo hayo yalifanyika katika hoteli ya Jumeirah huko New York.
 Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bwana Daniel Yohannes katika hoteli ya Jumeirah jijini New York mara tu baada ya Rais Kikwete kumaliza kuhutubia mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.PICHA NA JOHN LUKUWI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...