Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Hussein Said Khatib kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utalii wa Umma Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mohamed Faki Mohamed kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Khamis Haji Khamis kuwa Kadhi Mkuu mpya wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Khalifa Hassan Chum kuwa Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.Picha zote na Hamadi Hija-Maelezo Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani mi mwenzenu nachanganyikiwa hapa, kadhi si ni kiongozi wa kidini, sasa kwa nini anaapishwa na raisi wa ZNZ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...