aslam-alaikum kaka michuzi
kwa mara nyengine tena sisi watanzania (wazanzibari) tunaoishi toronto tunakuomba ututolee salamu zetu za rambi rambi kwa waathirika wa ajali ya meli iliotokea huko nyumbani zanzibar na tupo pamoja na wafiwa na majeruhi wote mungu atawalaza pema peponi ameen. kwa niaba ya timu ya taifa stars (toronto) mimi ni captain wao Nassor Khatib a.k.a cholo boflo .
ahsante kaka michuzi tunategemea utaturushia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...