Assalaamu Alaykum,
Twapenda kuwatangazia wakazi wa mji wa Leicester na vitongoji vyake kuwa Inshaallah KESHO JUMAPILI 11 Septemba 2011 Saa Nane mchana tutakusanyika ili kufanya SALA na DUA kuwaombea ndugu zetu waliofikwa na maafa ya kuzama kwa meli huko Zanzibar.
Shughuli itafanyika 1st FLOOR, KOCHA HOUSE, MALABAR ROAD, LEICESTER, LE1 2PD.
Wakati: SAA NANE KAMILI MCHANA (2PM).

Tafadhali mjulishe mwenzio.


Jazaakal Lah Khayr
Madrasatun Nuur Leicester
fcalwattan@gmail.com  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...