Kwa niaba ya Jumuiya ya Maendeleo Kimataifa (Society for International Development), tunachukua nafasi hii kutoa salamu za pole kwa masikitiko na huzuni kwa familia za wananchi waliopoteza wapendwa wao kufuatia ajali ya meli iliyopinduka na kuzama huko Visiwani Zanzibar.
Tunawatakia familia, ndugu, jamaa na marafiki kuwa na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo na kumuomba Mwenyezi Mungu azilaze roho za Marehemu mahali pema peponi
Pia tunatoa mkono wa pole kwa wote walioumia katika ajali hii, tuwaombea waweze kupata nafuu haraka

Uongozi
SID – Tanzania Chapter

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...