Mtandao wa WABONGO UGHAIBUNI KWA niaba ya WATANZANIA WOTE UGHAIBUNI  imezipokea taarifa za ajali kwa masikitiko makubwa tunachukua   nafasi hii kuungana na Ndugu na jamaa pamoja na Taifa zima kuwa tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.Mwenyezi Mungu aziweke roho zao peponi. Kwa wale waliookoka,tunamuomba Mola awakutanishe na familia zao wakiwa katika hali ya afya,utulivu na usalama.

Ni matumaini yetu vyombo husika vitatoa maelezo kamili kuhusiana na ajali ili ziweze kuchukuliwa taadhari zaidi siku za usoni.


MUNGU  IBARIKI TANZANIA!!!!
 
Wabongo Ughaibuni  (ADMIN)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...