Kwa niaba ya jumuiya ya watanzania waliopo nchini USA chini ya Mwenyekiti wa   Newengland Umoja Foundation. 

Tunaungana na ndugu,jamaa na marafiki wote duniani kwa maombolezi ya msiba mzito uliotokea Tanzania,Zanzibar. Taarifa za maafa zimetufikia kwa mshtuko mkubwa. 

Wengi wa jamaa na ndugu zetu wamepoteza vipenzi vyao, na wengi wapo katika hali ya majeruhi.  Kwa karibu tumekuwa tukifatilia juu ya taarifa hizi za kuzama kwa meli.
Tunaomba Mwenyezi Mungu aziweke
mahali pema peponi roho za wote.
AMINA 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...