Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa akiongoza ujumbe wa CCM uliofika Ikulu Mjini Zanzibar, kumpa pole kutokana na Msiba kwa wananchi waliofariki kwa ajali ya Meli ya Mv Spice Islander iliyozama Ijumaa wiki iliyopita huko Bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikielekea Pemba.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...