'Happi Bethidai ya majonzi!'
 
SEPTEMBA 14, miaka mingi iliyopita alizaliwa miongoni mwa Wadau wa Kuu wa 'gazeti' mtandao la THEHABARI.COM kwa upande wa Tanzania (Joachim Mushi). Asanteni sana wadau na wasomaji wa 'Thehabari.com' popote mlipo ulimwenguni kwa ushirikiano wenu. Nasikitika kusema nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa huku Tanzania, Kenya ikiwa katika msiba mkubwa wa matukio ya ajali. Tanzania tukiwa kwenye ajali ya meli na Kenya mlipuko wa bomba la mafuta, ambapo ajali zote zimepoteza idadi kubwa ya roho za wapendwa wenzetu. Mungu aendelee kutulinda sote. Amin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...