Watu mbali mbali kutoka kila sehemu na kujionea ni jinsi gani watanzania walivyo na mwamko wa maendeleo. Na pia Mdau anapongeza hotuba ya rais wetu aliyoitoa siku ya ufunguzi wa mkutano huo. Tunaomba yale yaliyo ongelewa yaweze kufanikiwa, mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa.
Mdau NY Ebra akiwa na Shamim Mwasha wa 8020Fashions Blog mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
heee, eric nakuona unauza sura na glass ya budweiser hapo arusi lini?
ReplyDelete