UMOJA  WA  WANAFUNZI  WA  KITANZANIA  WASOMAO  KATIKA  CHUO  KIKUU  CHA  URAFIKI  (LUMUMBA) MJI  WA  MOSCOW  NCHINI  URUSI  UNAPENDA  KUTUMIA   BLOG  HII  YA  JAMII  KUTOA  SALAMU  ZA  POLE KWA  WATANZANIA  WOTE  KUFUATIA  AJALI  YA  MELI  ILIYOPINDUKA  NA  KUZAMA   KATIKA  BAHARI YA HINDI  NA  KUSABABISHA  VIFO  VYA   ABIRIA  WALIKUWEMO  KATIKA  MELI  HIYO  WAKIWA SAFARINI.

KWA  PAMOJA  TUNASEMA  MSIBA  HUU  NI  WETU  SOTE  NA  TUNAMUOMBA   MWENYEZI   MUNGU AWAFANYIE  WEPESI   MAREHEMU  WETU  WALIFARIKI   KWA   AJALI   HIYO  NA   INSHAALLAH   AFANYE    VIWANJA  VYAO  KUWA  NI  MIONGONI  MWA  VIWANJA  VYA  PEPO.

KWAKE  TUMETOKA  NA  KWAKE  NI  MAREJEO.

                             AMEEN!!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...