Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dk. Servasins Likwelile (kushoto) na Mkurugenzi wa Trade Mark Afrika ya Mashariki Frank Matsaert (kulia) wakisaini makubaliano ya miaka mitano ya kuwajengea uwezo wananchi, kuimarisha miundombinu na usalama wa mienendo mizuri ya watu katika mipaka ya nchi ambayo yatagharimu shilingi bilioni 90. Hafla hiyo fupi imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Trade Mark Afrika ya Mashariki Frank Matsaert (kulia) akielezea jinsi wanavyofanya kazi wakati wa utiwaji saini wa makubaliano ya miaka mitano ya kuwajengea uwezo wananchi, kuimarisha miundombinu na usalama wa mienendo mizuri ya watu katika mipaka ya nchi ambayo yatagharimu shilingi bilioni 90. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dk. Servasins Likwelile.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dk. Servasins Likwelile (kushoto) na Mkurugenzi wa Trade Mark Afrika ya Mashariki Frank Matsaert (kulia) wakikabidhiana makubaliano ya miaka mitano ya kuwajengea uwezo wananchi, kuimarisha miundombinu na usalama wa mienendo mizuri ya watu katika mipaka ya nchi ambayo yatagharimu shilingi bilioni 90. Hafla hiyo fupi imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi kutoka Trade Mark East Africa wakifuatilia makubaliano ya miaka mitano ya kuwajengea uwezo wananchi, kuimarisha miundombinu na usalama wa mienendo mizuri ya watu katika mipaka ya nchi ambayo yatagharimu shilingi bilioni 90 yaliyofanywa baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Trade Mark East Africa . Hafla hiyo fupi imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya Fedha na Uchumi iliyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi na Trade Mark East Africa wakifuatilia makubaliano ya miaka mitano ya kuwajengea uwezo wananchi, kuimarisha miundombinu na usalama wa mienendo mizuri ya watu katika mipaka ya nchi ambayo yatagharimu shilingi bilioni 90 yaliyofanywa baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Trade Mark East Africa . Hafla hiyo fupi imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya Fedha na Uchumi iliyopo jijini Dar es Salaam.Picha na Anna Nkinda - Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tunaweza kufahamu zaidi kuhusu hili? Nimesoma lakini sijaelewa hii sehemu 'Kuwajengea uwezo wanainchi (uwezo wa nini?, wanainchi wapi [wakulima, wafugaji, wafanyabiashara wa bidhaa, wafanyakazi wa kuajiriwa]), kuimarisha miundombinu (ipi, barabara, maji, gas), usalama na mienendo mizuri katika mipaka ya nchi (kama polisi, au ffu, au wanajeshi). Kwa kweli sijaelewa. Anayefahamu vizuri naomba anielewesha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...