TUNAPENDA KUWATANGAZIA WA TANZANIA WA MJINI NEW DELHI NCHINI INDIA KWAMBA UBALOZI WETU UMEFUNGUA KITABU CHA MAOMBOLEZO.

VILEVELE JUMAMOSI YA TAREHE 17 \09\2011 KUTAKUWA NA KIKAO CHA WANAFUNZI PAMOJA NA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUTOKANA NA MAAFA YA AJALI YA MELI YA MV SPICE LSLANDERS ILIYOTOKEA ZANZIBAR.

TAFADHALI WOTE FIKENI BILA KUKOSA UBALOZI WA TANZANIA INDIA SAA 9:00 ALASIRI MPAKA SAA 12 :OO JIONI.

ASANTENI!!!!!

TASA PRESIDENT

UBALOZI WA TANZANIA INDIA WAOMBOLEZA AJALI YA MELI

BALOZI:ENG. JOHN W . H KIJAZI
EP-15C, DIPLOMATIC ENCLAVE
CHANAKYAPURI, NEW DELHI 110021
India

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...