Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada ya kugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba kwenye mji mdogo wa Mbalizi,jijini Mbeya jana.
Gari lenye nambari za usajili T.438 BRT aina ya Land Rover, mali ya mchungaji Nduka wa kanisa la Uinjilist Mbalizi. Ambalo liligongana na Lori hilo.
Taswira ya mbele ya Lori hilo baada ya kupata ajali na kusababisha hasara kumbwa.Picha zote na Latest News Tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani hili ni gari lililokuwa linatembea barabarani kweli? Linaonyesha kweli ni scraper tu, yaani limebomoka bomoka kama lililotengenezwa kwa udongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...