Meneja Wa Kinywaji cha GrandMalt, Consolata Adam akizugumza na waandishi wa habari wakati wa kuiaga timu wa Baraza la Wawakilishi ya Zanzibar iliyokuwa ikielekea mkoani Arusha ambapo itacheza mchezo mmoja na timu ya Klabu ya Wazee wa mkoa huo hapo siku ya Jumapili ya Septemba 11.
 mwakilishi wa jimbo la Kipeta, Mh Makame Mbaruku ambae ni mshambuliaji wa timu ya baraza la wawakilishi akizungumza na waandishi jinsi walivyojiandaa na mchezo huo.
 Timu ya Baraza la Wawakilishi ikiwasili katika bandari ya jijini Dar es Salaam tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Arusha kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya timu ya Klabu ya wazee wa mkoa huo.
Timu ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ikiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt ambao ndio wadhamini wakuu wa mchezo huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hapa sijui kinachofichwa ni kitu gani, hakukuwa na uhuru kwa Tanzania bara bali ulikuwa ni uhuru kwa Tanganyika. Kilichopata uhuru ni nchi na si vinginevyo, hakukuwa na nchi ya Tanzania bara bali nchi ya Tanganyika. Serikali kwanini inakuwa na kigugumizi kutamka Tanganyika?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...