Home
Unlabelled
uendeshaji wa baiskeli wa namna hii ni hatari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UJEZI WA BARARA YENYEWE NDIO MBOVU,HAPO NI KIJIJINI USAFIRI MKUU WA WANA KIJIJI NI BAISKELI NA MIGUU,BARABARA HAINA SEHEME YA WAENDA KWA MIGUU WALA WAENDESHA BAISKELI.NA DEREVA ANAPASHWA KUMPITIA MBALI MUENDESHA BAISKELI.NA HILO NI KUTOKANA MADEREVA WETU WANAPATA LESENI BILA KUPITIA MTIHANI WA SHERIA ZA BARABANI NA HILO NDIO LINALO CHANGIA SANA AJALI ZA KILA SIKU.
ReplyDeletewatuwakisema waafrica ni wapumbavu wengine wanakasirika,sasa wewe sijui mkandarasi/sijui wizara ya ujenzi na akili zenu mnajenga barabara ya namna hii bila ya kuangalia watembea kwa miguu watapita wapi huu ni ulofa...i am sure walikuwa wanajua kabisa kwamba kwenye hivyo vijiji lazima kuna waendesha baiskeli watataka nao wapite kwa ajili ya shughuli zao na kadhalika ila kwa sababu wao hawaishi huko watakaogongwa shauri yao.ok tusema basi watu hawapiti mfano gari likiharibika hapo linasogea wapi vichakani?africans are.........malizia.
ReplyDeleteMuendeshaji wa baskeli hana makosa na anatakiwa kupewa haki yake hapo makosa yapo kwa wana usalama na mipango ya barabara
ReplyDeletekisheria inatakiwa kuwepo na barabara za magari barabara za baskeli na bararaba za wapita kwa miguu
hilo tatizo lipo kwa serikali yetu inayojali zaidi masirahi ya watu wenye hali za juu na kutupilia mbalini kwa makusudi wananchi wenye hali za chini kimaisha
kwa huku majuu wenzetu wameweka barabara za magari za baskeli na watembea kwa miguu na sheria za barabarani zinawapa nafasi kubwa zaidi watembea kwa miguu then waendesha maskeli na mwisho ndio kwa hao wenye magari
kutokana serikali yetu kutojali maisha ya mwananchi ndio ukaona tukio kama hilo hapo ni kuhatarisha maisha na ni makosa kwa muendesha baskeli lakini ukweli ni kwamba muendesha maskeli ana haki zaidi ya huyo muendesha gari.
Mdau The netherlands.
sasa mwenye makosa hapo ni nani dereva wa basi au baiskeli
ReplyDeletenyie wote mnasema mwendesha baiskeli yupo sawa hamna akili na wote mnaosema sisi waafrica je wewe ni naniiiiiiiiiiiii? KI UFAHAMU WANGU UENDE NCHI YOYOTE DUNIANI KWENYE HIGH WAY HAIRUHUSIWI MTU WA BAISKELI, PIKIPIKI WALA MIGUU. sasa kila barabara ijengwe na sehemu ya watu wa baiskeli kweli kweli utajenga wapi uache wapi maana inaibidi high way zoote TZ warekebishe kuongeza hizo lanes.acheni hizooooooooooooo
ReplyDeleteAcheni kelele nyinyi watu wa Ughaibuni. Hizo pesa za kujenga barabara ya hatuna itakuwa kuweka sehemu ya waindesha baiskeli na wapita kwa miguu. Hapo inatakiwa kila mtu aweze kutumia hiyo barabara, hivyo wenye vyombo vikubwa wajuwe kuna waendeshao baiskeli na wapitao kwa mikuu. Hivyo waendeshe magari yao kwa uangalifu ili wote wafaindike na hiyo barabara. Mfano hapo mwenye basi alitakiwa mpitie mbali huyo mwenye baiskeli.
ReplyDeleteMdau, hapo mwenye baiskeli ana makosa yapi? Maana yupo ukingoni kabisa mwa barabara! Wenye magari wajue kuwa watu wengine pia wana haki ya kutumia hiyo barabara!
ReplyDeleteSHERIA ZA DINI NA ZA KIMATAIFA ZINAKUSUDIA KULINDA WATU, HESHIMA NA MALI ZAO, NDIO MAANA:
ReplyDelete1-KATIKA MIUNDO MBINU YA BARABARA HAKUTAKIWI MCHANGANYIKO WA MAGARI, BAISKELI NA WATEMBEA KWA MIGUU. NA BARABARA ZIWE PANA
2-HALAFU SHERIA ZA USALAMA KAMA SPEED LIMIT NA MOT [VIPIMO VYA KILA MWAKA KUHAKIKI UZIMA WA GARI].
3-HALAFU KUFA MAFUNZO YA KUENDESHA NA TEST YA KUWEZA KUPATA LESENI.
4-NA MWISHO KUNA ADHABU KWA ANAEKIUKA TARATIBU HIZI ZA USALAMA, KWA SABABU ANAJENGA MAZINGIRA YANAYOPELEKEA KUTOKEA AJALI.
BAHATI MBAYA NI KWAMBA:
1-MIUNDO MBINU YA BARABARA NI NYEMBAMBA, NA SHERIA ZINARUHUSU KUTUMIWA NA MAGARI YANAYOENDA KWA KASI, BASKELI, NA WATU WA MIGUU (WATOTO KWA WAZEE).
2-UKIKIUKA SPEED LIMIT UTAHONGA, NA KIPANDE CHA WIKI YA NENDA KWA USALAMA UTANUNUA BILA YA GARI LAKO KUCHEKIWA.
3-LESENI NAYO UKILIPA HONGO UTAPEWA BILA KUFANYIWA TEST.
4-NA UKIGONGA MTU UKAMUUA UTAHONGA YATAISHA.
MARAIS, MAWAZIRI, WABUNGE NA WATENDAJI WANAOHUSIKA AIDHA:
1-MCHUKUE HATUA KUREKEBISHA
2-KAMA HAIWEZEKANI MKEMEE MAKOSA YA MAKUSUDI NA UZEMBE
3-KAMA HAIWEZEKANI MUONYESHE HISIA ZENU; KUTOKUKUBALIANA NA MAKOSA YA MAKUSUDI NA UZEMBE
LAKINI KUTOCHUKUA HATUA ZA KUREKEBISHA PANAPOWEZEKANA, AU KUTOKEMEA MAKOSA, AU KUKAA KIMYA NA KUTUMIA JUHUDI NA MALI NYINGI KUANDAA SHEREHE MBALIMBALI. MAMBO HAYO MIMI NAONA SI SAWA.
KAMA KUNA MAKOSA KATIKA MANENO YANGU NI KUTOKANA NA UBINADAMU WANGU, NAOMBA NISAMEHEWE.
NANI MDAU WA NETHERLAND?,NAKUKUBALI MOJA KWA MOJA KWA MAANA HAPO BAISKELI NI NYINGI KULIKO MAGARI,UKITAKA LICENCE KWANZA UNAPEWA BAISKELI UENDESHE UKIPASI NDO MNAENDELEA NA UNGWE YA DRIVING LICENCE.MDAU HAPAHAPA.
ReplyDeleteKwa nini mtoa mada asiseme: "Uendeshaji wa Basi wa namna Hii ni Hatari Sana"? Mara zote sisi humwona maskini ndiye mwenye makosa.
ReplyDeletekwa nii tunajenga bara bara nyembamba sana ,watembea kwa mnguu nao wanasehemu yao barabarani na waiendesha baisikeli
ReplyDeletehuyo mdau hapo juu aliewaita wenzako hawana akili yeye ndio hana akili wala upeo yupoyupo just kapata internet kwa jirani hajui dunia inaenda wapi nani kasema hiyo ni highway? tanzania ina highway? na kama zipo zipo ngapi? huyo nayo ni highway?
ReplyDeletenahata kama hiyo ni highway haijahusu kutokuwepo kwa njia za watembea kwa miguu na waendesha baskeli ikiwa hiyo ni highway basi haimaanishi kuwa haiwezi kujengwa njia ya waendesha baskeli au wapita kwa miguu
hukuambiwa kuwa ni lazima njia ya wapita kwa miguu au waendesha baskeli ipite hapo kwenye highway inaweza kujengwa upande mwingine tena inakuwa bora zaidi kujengwa kimkato sio kufatana na barabara za magari
wewe unaoita wenzako hawana akili wewe ndio pambaff!!! huna akili hata kidogo kubwa jinga
FIKIRIA KUNA GARI NYUMA YA BASI INATAKA KUOVATEKI HILO BASI HALAFU UPANDE WA PILI GARI NYINGINE INAKUJA KWA MWENDO KASI HALAFU KUSHOTO KUNA MWENDESHA BAISKELI hmmmm MUNGU ATUEPUSHE NA MABALAA
ReplyDeleteKOSA NI DEREVA WA BASI. ALITAKIWA ATOE NAFASI KUBWA KWA MWENYE BAISKELI WAKATI AKIMPITA. KUMPITA KARIBU NAMNA HIYO UNAWEZA KUSABABISHA AJALI KUBWA KWANI MWENYE BAISKELI AWEZA YUMBA NA KUINGIA UVUNGUNI MWA BASI NA KUPOTEZA MAISHA YAO. ACHA NAFASI PINDI UWAPITAPO WATU WENYE USAFIRI WA MATAIRI MAWILI HUWA HAWATABIRIKI.
ReplyDelete