Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Said Mwema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu ajali ya meli ya Spice Islanders iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Nungwi mkoa wa kaskazini Unguja.Kwa mujibu wa Inspekta Generali wa Polisi IGP Said Mwema watu 525 waliokolewa na vikosi vya uokoaji kutoka Tanzania bara na Zanzibar. Aidha IGP aliongeza kuwa taarifa za tukio hilo zitakuwa zikitolewa mara kwa mara na Kamishina wa Polisi Zanzibar, Kamanda Mussa Mussa. 
(Picha na Francis Dande).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...