Wanachama wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa katika maandamano na Mbunge wao wa jimbo la Arusha mjini,Godbres Lem mara baada ya kesi iliyokuwa ikiwakabili madiwani wa chama hicho waliofukuzwa uwanachama kumalizika na kufutiliwa mbali (picha na Woinde Shizza,Arusha)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hmmm, mimi niko Arusha na katika picha hizo nawaona machokoraa watupu na watu wenye kushukiwa kuwa wako katika mtandao wa wezi wa magari. Arusha Native.

    ReplyDelete
  2. hao ni vibaka watupu hapo hata ningewaona barabarani ningekimbia mbali. hizi siasa za vurugu ndozinawafanya upinzani kila baada ya uchaguzi kushika mkia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...