Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini, Klaus-Peter Brandes ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha ya twiga balozi wa Japan nchini, Hiroshi Nakagawa ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kumuaga. (Picha na OFisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...