Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa umwagiliaji wa kilimo cha mpunga katika kijiji cha Irienyi wilayani Rorya akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Mara hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mbunge wa Rorya, Lameck Airo kwa kutoa mchango wa zaidi ya shilingi milioni 530 kwa shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye jimbo lake wakati alipozungumza na wananchi kwenye shamba la umwagiliaji la mpunga la Irienyi wilayni Rorya akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara hivi karibuni.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...