Habari ankal,
natumaini hujambo unaendeleza libeneke kama kawa. Mie naomba unifikishie taarifa hii kwa wadau wote wa blog ya jamii na wao wakiweza wawaeleze jamaa zao.
kumezuka wimbi kubwa la madalali matapeli hasa wa nyumba mjini dar wanakuonyesha nyumba hadi jina la mwenye nyumba wanakua wanalijua unaingia hadi ndani kuikagua,ukiridhika nayo wanakupatia namba ya simu ya mwenye nyumba
bandia ukikubaliana nao kila kitu wanadai wanataka kulipwa kwa mwanasheria kwakweli ankal huwezi amini hadi mwanasheria wanakua nae na contract unapewa
na uhakika kwa vile limenitokea inaumiza sana na kurudisha nyuma maendeleo ya watu.
naomba watu wote wawe makini na madalali.
mdau wa blogu ya jamii

Nafikiri hili la mwanasheria ni kuwa mnunuzi pia anatakiwa kuwa naye, hivyo usikubali mwanasheria wa upande mmoja. Hili lilitokea enzi za Mwalim!!
ReplyDeletehawa madalali kawasajili nani?

ReplyDeletepole sana mkuu. Kuepuka kudhulumiwa wakati mwingine, tembelea madalali wenye leseni za biashara na physical office location.
ReplyDeleteTembelea: www.mydalali.com for more info.