Familia ya Novatus Mwilili ndugu na jamaa, walishiriki kwa pamoja katika sherehe ya graduation ya mtoto wao mpendwa Editha Novatus Mwilili (pichani) iliyofanyika terehe 1/10/2011, katika shule ya sekondari ya St. Theresa iliyopo Kisongo jijini Arusha. Editha alisema huo ni mwanzo tu wa ndoto zake za kwanza za kuweza kufikia malengo yake ya kufikia kiwango cha shahada.
Ankal Editha Novatus Mwilili akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wenzake.

akiwa na ndugu wengine waliofika katika hafla hiyo.
Ankal Editha Novatus Mwilili akiwa na wazazi wake.
Wahitimu wakiwa na walimu wao.
picha ya pamoja ya ndugu,jamaa na marafiki waliofika katika hafla hiyo ya kihitimu kwa Editha Novatus Mwilili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...