Dereva wa Gari maalum la kubebea nyama akiwaelekeza wanafunzi wa Shule ya Msingi Tumbi,Kibaha namna na kujipanga kwenye gari hilo wakati akiwasaidia usafiri wa kuelekea majumbani kwao.kama walivyonaswa na Kamera man wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wakati maaskari polisi na wanajeshi wakipanda daladala bure, wanafunzi wakitanzania wamekuwa na hali mbaya, hadi kufika shuleni saa tatu na wakike kujiuza kwa madereva na makonda ili kupunguza bugutha. Je waziri wa elimu upo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...