Ankal akiwa na Meya wa Manispaa ya Ilala Mstahiki Jerry Silaa (kulia) na Mh Diwani.
Chonde chonde wasukutuaji, mipasho nouma...!!
Picha na Shamim Zeze wa 8020 Fashions.
Kwa mapicha ya kumwaga
BOFYA HAPA
Picha na Shamim Zeze wa 8020 Fashions.
Kwa mapicha ya kumwaga
BOFYA HAPA
Ankal hiyo suti sio ya bongo, utakuwa umepewa na nanihii kama zawadi! Imekupendeza hiyo design itakuwa ya ulaya alafu nimekuona na wewe unazo kama 15 hivi kwa mshahara wako ukichanganya pamoja na wa blog huwezi ukawa na suti za bei mbaya namna hii! kuna mkono wa mtu hapo! Tuambie mshonaji ni nani?? hahahaaa I like to mess with you ankal umetoka bomba suti imekukaa vizuri! ankal oyeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteuncleee KIATU chako tu, safi sanaaa!!!! unajichanganya kila sehemu
ReplyDeleteAnkal walaigh umechomoka ile mbaya, kumbe huwa unamvuto kiasi hichoooo, naomba niwe mgombea mwenza na mai wifu wako ntakuwa radhi kuwa hata mke wa .......
ReplyDeleteUmetoka bomba mbayaaaaaaaaaaaaa mwaaaaaaaaaaaaaaaah!
Ankal hapo juu Mkono huo wa kushoto umekamata nini tena? Ankal kwa konoz unatisha. Konoz kama zina sumaku vile. Hiyo suti nimeikubali Ankal, hebu kuwa muungwana na umsaidie huyo anayeziuza au kutengeza kwa kumtangazia hapa kuwa anapatikana wapi? Fanya uungwana tu humu duniani dill ni kusaidiana mtangazie biashara tafadhali Ankal.
ReplyDeleteAnkal, si unaona ulivyopendeza? Pendeza ankal achana na ile t-shirt yako ya mistari.
ReplyDeleteAnkal unamatatizo ya kukamata wanawake wa watu viuno. wanaita "pervert"!
ReplyDeleteLeo mie sina ugomvi na wewe, suti imekukaa siyo ile ya siku ile bungeni kuuuuuubwa........hii sasa ndio yenyewe!
ReplyDeleteankal na mai wifu mmependezaje!!!!!
ReplyDeletehivi nimesahau au suit (koti) siku hizi lina vifungo vingapi 2,3,4 hebu nikumbusheni wa dau
ReplyDeleteAnkal mbona unaonekana kama umevaa bulleti proof ndani ya hiyo suti, unamuogopa nani wakati hii ni nchi ya amani.
ReplyDelete