
Balozi Mahiga amesema amezungmza na maafisa wa Kenya na Somalia kuhsu hatua hiyo ambayo Kenya inasema imechukua kwa ajili ya usalama na kukabili uhalifu unaoendeshwa na kundi lwa wanamgambo wa Kiislam la Al-shabaab.
Wanamgambo wa kndi hilo wamekuwa wakiendesha vitendo vya tekaji kwa baadhi ya watalii raia wa kigeni nchini Kenya na hivi karibuni waliwateka wafanyakazi wa misaada kwenye kambi kbwa kabisa ya wakimbizi wa Kisomali ya Dadaab iliyoko Kaskazini mwa Kenya.
Balozi Mahiga amesema hatua hiyo ya Kenya haijakiuka sheria za Umoja wa Mataifa. Amezungumza hayo na mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa wa Nairobi Jason Nyakundi.
Kusikiliza mahojiano hayo bofya
http://www.unmultimedia.org/
AU
http://www.facebook.com/
AU
http://twitter.com/redioyaum
AU moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe
http://www.unmultimedia.org/
Balozi mahiga, I don't think if you are right to say kenya has not violated the UN rules and regulations, because invation of any can't of one country to another is not exceptable, or may I ask did Kenya call for resolution partaining the issue at any time ahead of their invation to Somalia? the answer is no,so Kenya is wrong all the way, the best solution to Kenya's claim is to talk to Somalia Government and if neccessary work together with Somalia Army to eladication the prevailing situation at border. but not to invade or fight against the said group without somalia government concent.
ReplyDelete