Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura akimtukunu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete digrii ya Heshima ya Udaktari wa sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) wakati wa Mahafali ya Arobaini na moja ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.Wakati wa Mahafali hayo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda alitunukiwa digrii ya Heshima Ya Udaktari wa Fasihi(Doctor of Literature Honoris Causa).Kushoto ni makamu mkuu wa Chuo Profesa Rwekaza Mukandala.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya shukrani muda mfupi baada ya kutunikiwa Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) katika Mahafali ya Arobaini na moija ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyofanyika katika jana katika ukumbi wa mlimani city Picha ma mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Ongera Dr.Dr.Dr.Dr.Kikwete
ReplyDeleteNaragein!
ReplyDeleteahha ndo maaana M7 alikuja Dar tena daa kama raia wa bongo kama miaka ile ya 70 kule moshi
ReplyDeleteHONGERA BABA WA TAIFA,
ReplyDeletekweli mkuu wetu kiliza kila kukicha anapata za uzamili tu tena nchi hio hio anayoingoza inimradi haitwe doctor aingie class basi
ReplyDeletetunakukumbuka baba wa taifa ,pamoja na kututawala kwa miaka lukuki ulibakia kuwa mwalimu, ndio maana mpaka leo tuna upendo wa dhati kutoka miyooni mweti wewe.
ReplyDeletewewe nenda class mwenyewe, wivu tuu. we hata form 6 unaweza kuwa huna. Kikwete kapewa udaktari huko marekani, tena mwanzo kabla wabongo hawajampa.
ReplyDelete