Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Jane Dogani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma Kwa Wateja wa benki hiyo jiijini Dar ers Salaam leo. Kushoto
ni Allan Maro na kulia ni Mark Peter maofisa wa NBC katika kitengo cha Huduma kwa Wateja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...