Kipa wa  African Lyon Noel Munishi akisaidiwa na mchezaji mwenzie  baada ya  kupata huduma ya kwanza kufuatia kugongana  na Amri Kiemba wa simba jana Neshno na kufanya mchezo usimame kwa takriban dakika 15 ili apatiwe huduma. Hata hivyo alishindwa kuendelea na mchezaji wa ndani akachukua nafasi yake. Simba walishinda bao 4-0. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...