Home
Unlabelled
Dar yazidi kumetameta kwa vikwangua anga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siyo parking tu,yaani Dar majengo yanazidi kukumiminika bila kufikiria mahitaji kam umeme, maji,n.k. Matokeo yake ni magenerator na misimtanks kila corne ni uchafuzi wa mazingira tu.
ReplyDeleteMagari, kila mtanzania anaota kununa gari lakini barabara ni zile zile.
Mandeleo ya jiji inabidi siyo majengo. Infrastructure inabidi itiliwe mkazo pia.
Mji unazidi kupendeza lakini kuna maswali yanahitaji majibu tumesoma nini katika nchi ambazo hutokea mitikisiko ya ardhi na mazara yanayotokea kwa wakai na wafanya kazi wanaotumia majumba kama hayo tunayojisifia ?
ReplyDeleteIpo kwa nyuma.
ReplyDeleteMkulima-Kijijini Gezaulole.
vikwangua anga sawa lkn je ukitokea moto huko juu, tunazo faya za helikopta za kwenda kuzima au ndio msemo wa ajali haina kinga
ReplyDeleteMAGARI MENGI NA TB KIBAO GARI HAZINA UZURI WA MAZINGIRA KUSEMA KWELI MIAKA INAYOKUJA TUSIPOANGALIA ITAKUWA YA INDIA MAGOROFA KIBAO UMASIKINI UNAZIDI MIUNDO MBINU MIBOVU KUWA NA MAGOROFA MAREFU YA MJINI SIO MAENDELEO.
ReplyDeletendugu zangu nchi isijengwe kwa sababu wakati huu tuna matatizo ya maji na umeme?kwani yatakuwa maisha hayo matatizo?acheni fikra za kuturudisha nyuma na kuhusu magari pia wache watu wajirushe si wanazo wewe huna ndio maana unawaza tofauti
ReplyDeleteJamani ukienda kwenye vyoo vya haya majengo haukna maji. Yaani mimi kweli sielewi kwanini wanajenga haya majengo huku vyoo vinanuka na hakuna maji. Usafi wa vyoo ni tatizo kubwa sana Tanzania.
ReplyDeletemdau hapo juu, heko, majibu tosha, hamna ziada
ReplyDeletehivi sisi ni kutafuta kasoro tu!! lini tutakubali hata kidogo tulichonacho? ni bora kukubali moja ulonayo kuliko kutamani tisa usikuwa nayo!! kha.
ReplyDeletemajengo yeto hayo yana parking, zipo kwa nyuma, ppf tower kuna maji kibao tu, mi toka nimeanza kazi humu ndani sijawahi kwenda uani nkakuta maji yamekatika. fire hatuhitaji helicopter, kuna gari fire zinaweza kuzima moto katika level hii, rejea ile jengo ilowaka moto upanga.. na kitega uchumi pia.. nadhan utakua umekumbuka nyenzo walizotumia.
watanzania wanahitajika kuelimishwa hasa katika swala la usafi wa vyooni, wengi wao wanadhani choo hakitakiwi kuwa kisafi, fikira zao ni kwa sababu ni sehemu ya kwenda kutolea uchafu(Haja kubwa na ndongo).Naungana na wadau waliopita kwamba kujenga magorofa marefu yasiyokuwa na huduma muhimu kama vile maji ni ulimbukeni mtupu! msione magorofa ya wenzenu kama ya New york city mkadhani ukiingia ndani kuna upuuzi wa kutokuwa na huduma muhimu kama vile maji kwenye vyoo.
ReplyDelete