Hapa ni mtaa wa Ohio. 
Usiniulize parking maana sijaiona. 
Labda iko kwa nyuma ama basement...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Siyo parking tu,yaani Dar majengo yanazidi kukumiminika bila kufikiria mahitaji kam umeme, maji,n.k. Matokeo yake ni magenerator na misimtanks kila corne ni uchafuzi wa mazingira tu.

    Magari, kila mtanzania anaota kununa gari lakini barabara ni zile zile.

    Mandeleo ya jiji inabidi siyo majengo. Infrastructure inabidi itiliwe mkazo pia.

    ReplyDelete
  2. Mji unazidi kupendeza lakini kuna maswali yanahitaji majibu tumesoma nini katika nchi ambazo hutokea mitikisiko ya ardhi na mazara yanayotokea kwa wakai na wafanya kazi wanaotumia majumba kama hayo tunayojisifia ?

    ReplyDelete
  3. Ipo kwa nyuma.

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  4. vikwangua anga sawa lkn je ukitokea moto huko juu, tunazo faya za helikopta za kwenda kuzima au ndio msemo wa ajali haina kinga

    ReplyDelete
  5. MAGARI MENGI NA TB KIBAO GARI HAZINA UZURI WA MAZINGIRA KUSEMA KWELI MIAKA INAYOKUJA TUSIPOANGALIA ITAKUWA YA INDIA MAGOROFA KIBAO UMASIKINI UNAZIDI MIUNDO MBINU MIBOVU KUWA NA MAGOROFA MAREFU YA MJINI SIO MAENDELEO.

    ReplyDelete
  6. ndugu zangu nchi isijengwe kwa sababu wakati huu tuna matatizo ya maji na umeme?kwani yatakuwa maisha hayo matatizo?acheni fikra za kuturudisha nyuma na kuhusu magari pia wache watu wajirushe si wanazo wewe huna ndio maana unawaza tofauti

    ReplyDelete
  7. Jamani ukienda kwenye vyoo vya haya majengo haukna maji. Yaani mimi kweli sielewi kwanini wanajenga haya majengo huku vyoo vinanuka na hakuna maji. Usafi wa vyoo ni tatizo kubwa sana Tanzania.

    ReplyDelete
  8. mdau hapo juu, heko, majibu tosha, hamna ziada

    ReplyDelete
  9. hivi sisi ni kutafuta kasoro tu!! lini tutakubali hata kidogo tulichonacho? ni bora kukubali moja ulonayo kuliko kutamani tisa usikuwa nayo!! kha.
    majengo yeto hayo yana parking, zipo kwa nyuma, ppf tower kuna maji kibao tu, mi toka nimeanza kazi humu ndani sijawahi kwenda uani nkakuta maji yamekatika. fire hatuhitaji helicopter, kuna gari fire zinaweza kuzima moto katika level hii, rejea ile jengo ilowaka moto upanga.. na kitega uchumi pia.. nadhan utakua umekumbuka nyenzo walizotumia.

    ReplyDelete
  10. watanzania wanahitajika kuelimishwa hasa katika swala la usafi wa vyooni, wengi wao wanadhani choo hakitakiwi kuwa kisafi, fikira zao ni kwa sababu ni sehemu ya kwenda kutolea uchafu(Haja kubwa na ndongo).Naungana na wadau waliopita kwamba kujenga magorofa marefu yasiyokuwa na huduma muhimu kama vile maji ni ulimbukeni mtupu! msione magorofa ya wenzenu kama ya New york city mkadhani ukiingia ndani kuna upuuzi wa kutokuwa na huduma muhimu kama vile maji kwenye vyoo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...