Bondia Deo Njiku akifanya mazoezi ya misuri ya tumbo kwa kutumia viaa vya kisasa kwa ajili ya  kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam  litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijao
 Kocha wa Mchezo wa ngumi, Boma Kilangi (kushoto) akimsimamia mazoezi bondia Deo Njiku wa Morogoro wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam  litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijao
Bondia Deo Njiku akifanya mazoezi ya misuri ya tumbo kwa kutumia viaa vya kisasa kwa ajili ya  kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam  litakalofanyika wiki ijayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bondia sasa mbona kavaa Timbalands badala ya viatu vya mazoezi?

    ReplyDelete
  2. I hope they have disinfected wipes or viruses killer as the dude is bare chest and all the sweat is going everywhere. It is time for the Boxing association to do something to invest on these local boxes especially on equipments...come on u can do it...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...