Shem Jacquiline Manase Ndanshau na wadau katika mnuso ukumbi mashuhuri wa Golden Resort uliopo Sinza jijini Dar es salaam usiku huu
 wadau katika mnuso huo
 Wadau mnuosni
 Jacquiline akiwalisha Babu na Bibi keki yake
 Duncan na Christina Ndanshau wakila pozi kwenye mnuso wa mtoto wa kaka yao
 Ankal akiwa na wakwe, Duncan na Michael Ndanshau
 Jacquiline akipongezwa na binamu yake Nelson Swai
 Jacquiline akipongezwa na ba'mdogo Duncan
 Ankal akipozi na shemeji Jacquiline
 Jacguiline akiwa na wazazi, babu, bibi na Baba wakubwa na wadogo
 Jacquline akiwa na wazazi wake Mzee Manase na Hapiness Ndanshau
 Jacquiline Shani Ndanshau Mwenyewe
Jacquiline na wazazi wake wapendwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hongera saana binti ndanshau sasa ukafanye kazi kwa haki bin haki no rushwa mamaa eeh sawa eeh!

    ReplyDelete
  2. Kitambulio KhadijaOctober 26, 2011

    hongera sana mpendwa jacquiline ndanshau Mungu akuongoze vema katika safari ya maisha yako.

    ReplyDelete
  3. Nami naungana na wote nikisema HONGERA SANA JACQ

    ReplyDelete
  4. umeweka picha zote kwa kuwa inakuhusu, mbona hujasema pale chini kwa picha zaidi bofya hapa


    upendeleo hatuutaki

    ReplyDelete
  5. Ennhe! Hongera jitahidi upate ka masters tukufanyie pati ingine kuliko hiyo.

    ReplyDelete
  6. Kumbe michuzi umeoa uchagani? Ndo maana ulileta zile story za kusoma gazeti? EEeeeeeh, eeeeehe, haya bwana shem hongereni sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...