![]() |
Hayati Juma Penza enzi za uhai wake |
Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Juma Penza, mwandishi mkongwe na kada wa CCM aliefariki dunia Jumatano usiku katika hospitali ya Hindu Mandal baada ya kuugua
Rais Kikwete akiwa na baadhi ya wajukuu wa marehemu
Waombolezaji wakipokezana katika kuzika
Nape Nnauye akiwa mazikoni
Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa akishiriki katika mazishi
Naibu Mwenyekiti wa CCM (bara) Mh John Chiligati akiweka udongo kaburini
Mzee Athumani Janguo akimzika rafiki yake
Rais Kikwete akiweka mchanga kaburini
Watoto wa marehemu wakimzika baba yao
Mtoto wa marehemu akiweka mchanga kaburini
Mashaka Penza akimzika baba yake
Maelekezo wakati wa mazishi
Rais Kikwete akiwa kajumuika na waombolezaji kwenye mazishi hayo
Waombolezaji wakiwasili makaburi ya Kisutu
Watoto, ndugu, jamaa na marafiki wakiwasili mazikoni
Poleni Mashaka Penza, Mwa-k na watoto wote wa Uncle yetu. Tunawaombea ninyi nyote muwe na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza baba yetu. He was a great father since Sea-View.
ReplyDeleteRIP BABA.
SEA-VIEW RANGERS 1980'S
R.I.P Juma Penza.
ReplyDeletepole sana Muuu,upendo na familia kwa ujumla .
ReplyDeletePole sana Juliana
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Kama kuna kazi rais wetu anayoifanya bila kulaumiwa ni kuzika.
ReplyDeletePoleni sana watoto wa Juma Penza, ndugu zake na rafiki zake. Namkumbuka sana Juma Penza tulipokuwa waandishi wa habari pamoja. Nilikuwa mwandishi wa gazeti la Uhuru miaka ya sabini wakati yeye akiwa mwandishi, Daily News, pamoja na Benjamin Mkapa (managing editor, kabla yake, Sammy Mdee), Hadji Konde (deputy managing editor), Jenerali Ulimwengu, Reginald Muhango, Kassim Mpenda, Philip Ochieng, Godfrey Mwakikagile, Kusai Kamisa, Emmanuel Bulugu, Costa Kumalija, Abdallah Ngororo, Stanley Kamana, Nsubisi Mwakipunda, Ulli Mwambulukutu, Charles Kizigha na wengineo. Wengi wao wametuondoka, kabla ya Penza, na tuliobaki tutafuata.
ReplyDeleteMungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Juma Penza was a true patriot and one of Tanzania's most prominent journalists for decades.
ReplyDeleteHe also belonged to an editorial team which was one of the best in Africa during the seventies. Some of them, such as Karim Essack and Hadji Konde, wrote books when they still worked at the Daily News during those years. Others wrote books after they left the Daily News. They include Godfrey Mwakikagile, Philip Ochieng, Clement Ndulute, and Francis Kasoma, a Zambian who later became a professor and head of the mass communication department at the University of Zambia. Ndulute also became a professor years later and teaches English literature in the United States.
Together with his colleagues at the Daily News, Juma Penza played a prominent role as a journalist when Tanzania and Africa as a whole witnessed some of the most important events in the history of the continent including the socialist transformation of Tanzania, the war between Tanzania and Uganda, and the liberation struggle in southern Africa.
The Daily News relentlessly championed the cause of African liberation and became one of its most articulate exponents. It was cited and quoted extensively worldwide during that period. Juma Penza was at the centre of all that together with his compatriots at the Daily News. Their diligence and journalistic skills also helped to project Tanzania in the international arena as a true champion of African unity and liberation.
He was, simply, one of the best and will be sorely missed by those of us who knew him. And it is a terrible loss to the nation.
Rest in peace, Penza.
Michuzi,
ReplyDeleteMbona hakuna chochote Jamii Forums kuhusu kifo cha Juma Penza? Weka link JamiiForums.