Hayati Juma Penza enzi za uhai wake
 Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Juma Penza, mwandishi mkongwe na kada wa CCM aliefariki dunia Jumatano usiku katika hospitali ya Hindu Mandal baada ya kuugua 
 Rais Kikwete akiwa na baadhi ya wajukuu wa marehemu
 Waombolezaji wakipokezana katika kuzika
 Nape Nnauye akiwa mazikoni
 Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa akishiriki katika mazishi
 Naibu Mwenyekiti wa CCM (bara) Mh John Chiligati akiweka udongo kaburini
 Mzee Athumani Janguo akimzika rafiki yake
 Rais Kikwete akiweka mchanga kaburini
 Watoto wa marehemu wakimzika baba yao
 Mtoto wa marehemu akiweka mchanga kaburini
 Mashaka Penza akimzika baba yake 
 Maelekezo wakati wa mazishi
 Rais Kikwete akiwa kajumuika na waombolezaji kwenye mazishi hayo
 Waombolezaji wakiwasili makaburi ya Kisutu
Watoto, ndugu, jamaa na marafiki wakiwasili mazikoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Poleni Mashaka Penza, Mwa-k na watoto wote wa Uncle yetu. Tunawaombea ninyi nyote muwe na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza baba yetu. He was a great father since Sea-View.
    RIP BABA.
    SEA-VIEW RANGERS 1980'S

    ReplyDelete
  2. R.I.P Juma Penza.

    ReplyDelete
  3. pole sana Muuu,upendo na familia kwa ujumla .

    ReplyDelete
  4. stive-u.s.aOctober 14, 2011

    Pole sana Juliana

    ReplyDelete
  5. Poleni sana wafiwa. Kama kuna kazi rais wetu anayoifanya bila kulaumiwa ni kuzika.

    ReplyDelete
  6. Poleni sana watoto wa Juma Penza, ndugu zake na rafiki zake. Namkumbuka sana Juma Penza tulipokuwa waandishi wa habari pamoja. Nilikuwa mwandishi wa gazeti la Uhuru miaka ya sabini wakati yeye akiwa mwandishi, Daily News, pamoja na Benjamin Mkapa (managing editor, kabla yake, Sammy Mdee), Hadji Konde (deputy managing editor), Jenerali Ulimwengu, Reginald Muhango, Kassim Mpenda, Philip Ochieng, Godfrey Mwakikagile, Kusai Kamisa, Emmanuel Bulugu, Costa Kumalija, Abdallah Ngororo, Stanley Kamana, Nsubisi Mwakipunda, Ulli Mwambulukutu, Charles Kizigha na wengineo. Wengi wao wametuondoka, kabla ya Penza, na tuliobaki tutafuata.

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  7. Juma Penza was a true patriot and one of Tanzania's most prominent journalists for decades.

    He also belonged to an editorial team which was one of the best in Africa during the seventies. Some of them, such as Karim Essack and Hadji Konde, wrote books when they still worked at the Daily News during those years. Others wrote books after they left the Daily News. They include Godfrey Mwakikagile, Philip Ochieng, Clement Ndulute, and Francis Kasoma, a Zambian who later became a professor and head of the mass communication department at the University of Zambia. Ndulute also became a professor years later and teaches English literature in the United States.

    Together with his colleagues at the Daily News, Juma Penza played a prominent role as a journalist when Tanzania and Africa as a whole witnessed some of the most important events in the history of the continent including the socialist transformation of Tanzania, the war between Tanzania and Uganda, and the liberation struggle in southern Africa.

    The Daily News relentlessly championed the cause of African liberation and became one of its most articulate exponents. It was cited and quoted extensively worldwide during that period. Juma Penza was at the centre of all that together with his compatriots at the Daily News. Their diligence and journalistic skills also helped to project Tanzania in the international arena as a true champion of African unity and liberation.

    He was, simply, one of the best and will be sorely missed by those of us who knew him. And it is a terrible loss to the nation.

    Rest in peace, Penza.

    ReplyDelete
  8. Michuzi,

    Mbona hakuna chochote Jamii Forums kuhusu kifo cha Juma Penza? Weka link JamiiForums.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...