Ustadhy Hassan Buteta (pili kulia) akisoma dua wakati wa kisomo cha arobaini ya waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya Mv Spice Islanders iliyofanywa kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji na Jumuiya ya Watanzania waishio nchini humo. 
Mchungaji Macuacua akiongoza misa ya kuwaombea waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya Mv Space Islanders iliyotokea visiwani Zanzibar hivi karibuni.
Waliosimama mstari wa mbela kutoka kushoto ni Mhe. Balozi Ngaiza, Ustadhy Kinguti,Viongozi wa dini na Viongozi wa JUMUIYA ya Watanzania Msumbiji.
Mama Lukanga na Joyce Moshi wakiongoza wimbo wa maombolezo.
Wapishi wakigawa chakula kwa watu waliojumuika pamoja kwa ajili ya ibada hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...