Mwenyekiti wa kikundi cha wajasiliamali cha Mwamboni mkoani Tanga Ally Shekuwe kushoto akiteta jambo na mjasiliamali wa bidhaa za viatu Jackson Kingusa baada ya kupokea zaidi ya shs. laki tatu kutoka kwa kamati ya bunge ya fedha na uchumi za kukarabati ofisi yao hiyo ilipofanya ziara mkoani hapo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...