Maana huku niliko leo hakuna umeme na wala netweki haipatikani.
Home
Unlabelled
Nani kashinda leo kati ya Man U na Man City??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwosha huoshwa. Fergie kachezea kipigo cha mbwa mwizi leo, kala nusu dazani.
ReplyDeleteMan U amedhalilisha kwa kutandikwa 6 -1
ReplyDeleteIssa Michuzi !
ReplyDeletesasa kama huna neiweki-Umepost vipi?
ReplyDeletewameshindwa Man U
ReplyDeleteMan City thrashed and trashed in "trashford" 6:1 Man United
ReplyDeleteMAN U KAPIGWA SITA (6) KWA MOJA (1)
ReplyDeleteumepost vipi kama hakuna network
ReplyDeleteany way
MAN UTD 6 - 1 MAN CITY
Man.United ni kichaka kila goli wanagawana watu wawilila mwisho wanashare na lizevu wa golikipa.kutoka kwa Mohammed mjukuu wa mzee Sultan (MOJO,USA).
ReplyDeleteman utd 1 - man city 6
ReplyDeleteArsenal ilipigwa nane wadau mbalimbali wakasema ni vitoto hivyo haviwezi kucheza na wakubwa (Man U), kwa mtaji huu Man U kufungwa kwao sijui tusemeje?
ReplyDeleteukiona mwenzio ananyolewa nawe tia bichwa lako maji tayari kwa kunyolewa kama huamini muulize ALI BITEBO atakupa ukweli wa hii kauli kwani yeye anajua kanuni za kauli hiikwakuwa ni mla vichwa maarufu
ReplyDeleteMbona Taifa Stars hatushabikii hivi? Tunapenda tu vya wenzetu!
ReplyDeleteKocha wa Taifa Stars alikuwa likizo kwao wakati ligi inaendelea. Tulipopata mwaliko wa kwenda kombe la Nile alikuwa Denimaka. Wacha tuendelee kushabikia timu za mkoloni, Poulsen keshachafua hali ya hewa Taifa Stars na timu yake ya vijeba.
ReplyDelete