KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha Balozi wa China nchini, Liu Xinsheng wakati alipomtembelea ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini,Liu Xinsheng wakati alipomtembelea Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...