WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI WAKIPATA MAELEZO YA KITAALAMU JUU YA MAFANIKIO MAKUBWA YA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA KATIKA UMWAGILIAJI TOKA KWA MENEJA UMWAGILIAJI WA KAMPUNI HIYO BWANA LAIZER MORUMO WAKATI WA ZIARA YAO KIWANDANI HAPO MWISHONI MWA WIKI.
 WAHARIRI WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI WAKIPATA MAELEZO YA KITAALAMU JUU YA MAFANIKIO MAKUBWA YA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA KATIKA UMWAGILIAJI TOKA KWA MENEJA UMWAGILIAJI WA KAMPUNI HIYO BWANA LAIZER MORUMO WAKATI WA ZIARA YAO KIWANDANI HAPO MWISHONI MWA WIKI.
 WAKIPIGA PICHA YA KUMBUKUMBU TOKA KUSHOTO NI EDDA SANGA TOKA MLIMANI MEDIA, ASSUMPTA MASSOI WA TBC NA DINNA CHAHALI WA CHANNEL 10 WAKIWA NI MIONGONI MWA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI WALIOTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA KUONA MIRADI INAYOFADHILIWA NA MFUKO WA HIUFADHI YA JAMII (NSSF) MWISHONI MWA WIKI.
MENEJA UHUSIANO WA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII (NSSF) MS EUNICE CHIUME (KULIA) AKIWAONGOZA WAHARIRI  WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA MWISHONI MWA WIKI. ZIARA HIYO ILIFADHILIWA NA NSSF ILI KUONA MIRADI MIKUBWA YA KIUCHUMI INAYOKOPESHWA NA MFUKO HUO WA JAMII.
MENEJA WA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA MHANDISI NESTORY RWECHUNGURA AKIWAELEZA WAHARIRI WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI JINSI KIWANDA CHAKE KINAVYOFANYA KAZI WAKATI ZIARA YA VIONGOZI HAO KIWANDANI NA KATIKA MASHAMBA YA KAMPUNI HIYO MWISHONI MWA WIKI. ZIARA HIYO ILIANDALIWA NA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII (NSSF).PICHA ZOTE NA MDAU MADANGA SHAABAN MADANGA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...