Hii ni sehemu tu ya foleni katika barabara ya Old Bagamoyo road jijini Dar ambayo imekuwa kero kubwa asubuhi na jioni kuokana na wingi wa magari kuanzia Msasani kwa Mwalimu hadi Mlalakuwaa darajani. Je, halmashauri za jiji hili limeshapata kufikiria namna ya kutatua tatizo hizi kwa mfano kwa kuanzisha ushuru wa barabara kwa anayetaka kuingia mjini kama wanavyofanya wenzetu, ama kwa kujenga njia za mkato ambazo nyingi hazipitiki kwa mashimo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kero ya foleni barabara ya Old Bagamoyo.,oops ndugu hayo ni ya barabara ya nyerere road(barabara na road si ni kitu kimoja mjomba?)Kero ya foleni barabara ya Old Bagamoyo.,oops ndugu hayo ni ya barabara ya nyerere road(barabara na road si ni kitu kimoja mjomba?)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...