Home
Unlabelled
kipindi cha pili sisi bila wao bila, dak ya 50 refa kaminya penati yetu, rio na evra wamemkamia suarez balaa..hawana hata haya. hata hivyo dakika ya 67 steven gerrad anawapiga bao....Chicharito kasawazisha kwa bahati dk ya 80. Bahati yao tumewakosa baada ya kuwapeleka puta kama watoto. mpira umeisha..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kaka we kiboko-hataseckunde haijapita! duh
ReplyDeletepandisha na hiyo dk 80kaka...mbona late
ReplyDeletetumerudishaaa...1-1....na chenga tumewala
ReplyDeletewacheni ushabiki wa kitoto kama penalt hata sisi tungepewa mbona yule beki 3 wenu kashika au mnakuwa hamuoni.
ReplyDeletekwa mpira mmasahau kushika Top 4.
Liverpool kimeo vbaya, mshukuruni fergie kuacha bunduki nje, mtaishia nusu nyingine ya msimamo wa ligi. Mmechoka vbaya na walevi wenu
ReplyDeleteAti mwajivunia kutoka sare na Man U badala ya kupambana kuchukua ubingwa...mmefulia
ReplyDeleteFunny. Hebu tuwekeeni vitu vinavyoeleweka; si hizi pumba; kama ni mpira hata sisi tumeuona; mkawadanganye wanaoishi Loliondo; kama hakuna TV. Yetu macho. Liverpool ndio kwanza wamekutana na moja ya TOP GUNS; na wameshindwa kutumia hiyo nafasi nyumbani; bado Man City; Arsenal na Chelsea. Mnashangilia draw? Poleni. Mkumbuke ni Anfield
ReplyDeleteMbona hatujivunii Taifa Stars? Tunapenda tu vya wenzetu!
ReplyDeleteGea Mipasho ndo amewaokoa nyie...Arsenal tayari walishakula 2
ReplyDeleteHivi vya wenzetu vinawasaidia nini? Toeni ushauri kwa ajili ya timu zetu za nyumbani sio kushabikia wazungu.
ReplyDeleteAnony wa Sun Oct 16 03:10, na kwa wale wote wanaolalamika kila ankal anapoweka mpira wa nje, Kuna msemo unaenda ivi.."Ukiona tunakuboa hamia kenya"
ReplyDeleteJamani msituchoshe, ebo! Ndo maana hata kwenye taarifa ya habari kuna international news, mara ngapi ankal anaweka simba, yanga na taifa stars humu?
Nyie kama mnajali sana mtafute hizo habari za mpira wa ndani mumtumie ankal abandike najua hawezi kukataa, au mfungue blogu zenu zenye taifa stars peke yake. After all, IT IS A FREE WORLD.. Msituletee udikteta hapa, sisi tunataka a mixture of flavours including mpira wa nje.
ni mimi,
Binti matata
Sasa wewe si utoe huo ushauri...Mbona hautoa, tuache tuendelee na raha zetu, Barclays Premier League Oyeee...
ReplyDelete