Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. kaka we kiboko-hataseckunde haijapita! duh

    ReplyDelete
  2. pandisha na hiyo dk 80kaka...mbona late

    ReplyDelete
  3. tumerudishaaa...1-1....na chenga tumewala

    ReplyDelete
  4. wacheni ushabiki wa kitoto kama penalt hata sisi tungepewa mbona yule beki 3 wenu kashika au mnakuwa hamuoni.
    kwa mpira mmasahau kushika Top 4.

    ReplyDelete
  5. Liverpool kimeo vbaya, mshukuruni fergie kuacha bunduki nje, mtaishia nusu nyingine ya msimamo wa ligi. Mmechoka vbaya na walevi wenu

    ReplyDelete
  6. Ati mwajivunia kutoka sare na Man U badala ya kupambana kuchukua ubingwa...mmefulia

    ReplyDelete
  7. Funny. Hebu tuwekeeni vitu vinavyoeleweka; si hizi pumba; kama ni mpira hata sisi tumeuona; mkawadanganye wanaoishi Loliondo; kama hakuna TV. Yetu macho. Liverpool ndio kwanza wamekutana na moja ya TOP GUNS; na wameshindwa kutumia hiyo nafasi nyumbani; bado Man City; Arsenal na Chelsea. Mnashangilia draw? Poleni. Mkumbuke ni Anfield

    ReplyDelete
  8. Mbona hatujivunii Taifa Stars? Tunapenda tu vya wenzetu!

    ReplyDelete
  9. Gea Mipasho ndo amewaokoa nyie...Arsenal tayari walishakula 2

    ReplyDelete
  10. Hivi vya wenzetu vinawasaidia nini? Toeni ushauri kwa ajili ya timu zetu za nyumbani sio kushabikia wazungu.

    ReplyDelete
  11. Anony wa Sun Oct 16 03:10, na kwa wale wote wanaolalamika kila ankal anapoweka mpira wa nje, Kuna msemo unaenda ivi.."Ukiona tunakuboa hamia kenya"
    Jamani msituchoshe, ebo! Ndo maana hata kwenye taarifa ya habari kuna international news, mara ngapi ankal anaweka simba, yanga na taifa stars humu?
    Nyie kama mnajali sana mtafute hizo habari za mpira wa ndani mumtumie ankal abandike najua hawezi kukataa, au mfungue blogu zenu zenye taifa stars peke yake. After all, IT IS A FREE WORLD.. Msituletee udikteta hapa, sisi tunataka a mixture of flavours including mpira wa nje.

    ni mimi,
    Binti matata

    ReplyDelete
  12. Sasa wewe si utoe huo ushauri...Mbona hautoa, tuache tuendelee na raha zetu, Barclays Premier League Oyeee...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...